Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2017
UTANDAWAZI NA UTIMILIFU WA WAKATI UTANDAWAZI NA UTIMILIFU WA UNABII (GLOBALIZATION AND THE FULLFILMENT OF THE PROPHECY ) NA. EV. Amos robart Ndaro Zanzibar - Tanzania MAANA YA UTANDAWAZI          Utandawazi ni mfumo wa ulimwengu wenye lengo la kuinua uchumi, kwa njia ya biashara na mtiririko wa fedha. Ni shughuli za watu (kazi), maarifa (teknolojia) zinazofanywa bila kujali mipaka ya mataifa, Mfumo huu unavuka mipaka ya tamaduni, siasa na mazingira.                               AU          Utandawazi ni mfumo wa utawala, sayansi na teknolojia unaofanya dunia kuwa kijiji kimoja katika biashara, uchumi, mawasiliano n.k. ni hali ya muingiliano wa mataifa mbalimbali katika nyanja mbalimbali. ...

MIFU,O YA SIASA

SIASA N,UTAMADUNI NA UTANDAWAZI 1. KUCHANGANUA MIFUMO YA SIASA ILIYOPO KATIKA JAMII ILI KUBAINI NA ATAHRI ZAKE. 1. DHANA YA SIASA Siasa;- ni njia ya kufanya maamuzi katika taifa , mji au hata dunia nzima ( siasa ya kimatatifa ). Sehemu muhimu ya siasa ni majadiliano kati ya watu mbalimbali wenye nguvu au mamlaka . Katika demokrasia kila mtu ana kiasi fulani cha nguvu, kwa hiyo siasa ya demokrasia ina maana ya watu wote kuchangia maamuzi. 2. MIFUMO YA SIASA Hapa chini, mifumo mingine ya kisiasa huelezwa kifupi: 1 Utawala wa Kifalme 2 Utawala wa Kiimla 3 Utawala finyu 4 Utawala wa Umma 4.1 Demokrasia Baguzi 4.2 Demokrasia Duni 4.3 Demokrasia Endelevu 4.4 Demokrasia Shirikishi 5 Demokrasia Utawala wa Kifalme ni mfumo wa uongozi unaompa mamlaka ya dola na ya serikali Mfalme . Katika mfumo huu madaraka hurithiwa na mtu wa familia ya kifalme. Utawala wa Kiimla ni mfumo wa uon...