> > y Upimajina Tathmini 1. Tathmini ni nini? Ni utaratibu wa kupima na chukunguza hali halisi kwa lengo la kupata data zitakazo mwezesha mwalimu au mtahini kufanya maamuzi yanayohusu urekebishaji au uboreshaji wa mambo mbalimbali katika elimu. 2. Kutahini ni nini? Ni tendo la kutoa seti ya maswali yenye kiwango na mpangilio unaokubalika ili yajibiwe na mtahiniwa ili kupima kiwango fulani cha elimu alichojifunza. 3. Upimaji wa Kielimu ni nini? Ni tendo la kutafuta ni kwa kiasi gani mwanafunzi amepata maarifa na stadi alizofundishwa kufuatana na malengo ya ufundishaji. 4. Mfiko ni nini? Mfiko ni maksi inayoonesha tofauti kati ya maksi ya juu kabisa na maksi ya chini kabisa katika seti ya maksi za watahiniwa. 5 . Ni Zana zipi za msingi zitumikazo katika upimaji wa haraka za kufundisha na kujifunza? Zana zitumikazo katika upimaji wa haraka za kufundisha na kujifunza ni kama vile; Maswali Mazoezi Majaribio na Miti...
SIASA N,UTAMADUNI NA UTANDAWAZI 1. KUCHANGANUA MIFUMO YA SIASA ILIYOPO KATIKA JAMII ILI KUBAINI NA ATAHRI ZAKE. 1. DHANA YA SIASA Siasa;- ni njia ya kufanya maamuzi katika taifa , mji au hata dunia nzima ( siasa ya kimatatifa ). Sehemu muhimu ya siasa ni majadiliano kati ya watu mbalimbali wenye nguvu au mamlaka . Katika demokrasia kila mtu ana kiasi fulani cha nguvu, kwa hiyo siasa ya demokrasia ina maana ya watu wote kuchangia maamuzi. 2. MIFUMO YA SIASA Hapa chini, mifumo mingine ya kisiasa huelezwa kifupi: 1 Utawala wa Kifalme 2 Utawala wa Kiimla 3 Utawala finyu 4 Utawala wa Umma 4.1 Demokrasia Baguzi 4.2 Demokrasia Duni 4.3 Demokrasia Endelevu 4.4 Demokrasia Shirikishi 5 Demokrasia Utawala wa Kifalme ni mfumo wa uongozi unaompa mamlaka ya dola na ya serikali Mfalme . Katika mfumo huu madaraka hurithiwa na mtu wa familia ya kifalme. Utawala wa Kiimla ni mfumo wa uon...
kwa wale wanao hitaji vifaa hivi vyote vya kisasa wasiliana nami na tembelea blog hii kila mara kwa vitu vipya vya kisasa zaid i Tablets ›Ҝ👣 Go-anywhere devices in your choice of brands, operating systems and sizes. All Tablets 2-in-1s Microsoft Surface Kids' Tablets iPad & Tablet Accessories iPad E-Readers Refurbished Tablets Laptops › Portable power in your hands for on-the-go work and play. PC Laptops MacBooks Chromebooks 2-in-1s Gaming Laptops Microsoft Surface Laptop Accessories Top Picks for Laptops 2-in-1s › The processing power of a laptop, plus the fun factor of a tablet. Microsoft Surface HP Lenovo Dell Asus Acer Samsung 2-in-1 Accessories Desktops & All-in-Ones › Shop sleek towers, complete packages, or compact all-in-one designs. All Desktops Towers Only Desktop Packages All-in-One Computers Microsoft Surface Apple ...
PENDEKE ZO LA UTAFITI UMRI WA KUANZA ELIMUMSINGI KATIKA KATA YA KIGAMBONI DAR ES SALAAM YALIYOMO 1.SURA YA KWANZA……………………………………………………………………. 1.0 UTANGULIZI………………………………………………………………………….. 1.2 Usuli…………………………………………………………………………………….. 1.3 Malengo ya utafiti………………………………………………………………………. 1.3.1 Lengo kuu…………………………………………………………………………….. 1.3.2 Malengo mahu...
Tembelea ukurasa wangu wa blog kupata taarifa mbalimbali za kiafya ,kijamii,kiuchumi,biashara,michezo na burudani wakati wowote mahali pale ulipo DUNIANI ukiwa nyumbani ,ofisini ,katika usafiri na pia utapata MATANGAZO mbalimbali ya biashara na unaweza kuagiza mzigo wowote unao hitaji nna utakufikia pale ulipo kwa bei nafuu sana
UTANDAWAZI NA UTIMILIFU WA WAKATI UTANDAWAZI NA UTIMILIFU WA UNABII (GLOBALIZATION AND THE FULLFILMENT OF THE PROPHECY ) NA. EV. Amos robart Ndaro Zanzibar - Tanzania MAANA YA UTANDAWAZI Utandawazi ni mfumo wa ulimwengu wenye lengo la kuinua uchumi, kwa njia ya biashara na mtiririko wa fedha. Ni shughuli za watu (kazi), maarifa (teknolojia) zinazofanywa bila kujali mipaka ya mataifa, Mfumo huu unavuka mipaka ya tamaduni, siasa na mazingira. AU Utandawazi ni mfumo wa utawala, sayansi na teknolojia unaofanya dunia kuwa kijiji kimoja katika biashara, uchumi, mawasiliano n.k. ni hali ya muingiliano wa mataifa mbalimbali katika nyanja mbalimbali. ...
Maoni
Chapisha Maoni